KAMA HUKUONA VIDEO YA WABUNGE WAKITWANGANA MASUMBWI BASI NDIO HII HAPA....USIOMBE IKATOKEA KWETU


Kama haukuwahi kutazama video hii ya wabunge huko Ukraine wakitwangana makonde basi ndio hii hapa, ukiambiwa chanzo sasa cha ngumi hizo utashangaa. Imekuwa ni desturi yao wabunge wa nchi hiyo kuonyeshana umwamba hasa katika sekta hiyo ya masumbwi kila mara, kwani mwaka jana pia walitwangana makonde live live bila chenga. Na mwaka huu tena wamezichapa......Chanzo cha ugomvi ni mbunge mmoja kutumia lugha ya kirusi bungeni, lugha ambayo wa ukraine wengi hawaipendi kutokana na historia za uhasama kati ya nchi hizo mbili.....hebu tazama mwenyewe afu sema chochote, Ikitokea hapa kwetu nani hasa atatolewa nishai???????????????

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs