KATIKA PICHA : MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AKIZINDUA MASHINA MAPYA HUKO RUKWA

Baadhi ya wafuasi wa Chadema wakiwa mbele ya jiwe la msingi mufa mfupi kabla ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kulizindua mkoani rukwa

Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Mh Freeman Mbowe akizindua mmoja ya mashina mapya ya Chadema Mkoani Rukwa

Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Mh Freeman Mbowe akihutubia muda mfupi baada ya kuzindua mmoja ya mashina mapya ya Chadema Mkoani Rukwa.Picha Zote na Chadema
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII