MAAJABU : MAKAHABA MAPACHA WASTAAFU UKAHABA WAKIWA NA REKODI YA KULALA NA WANAUME 355,000...SOMA ZAIDI HAPA
Louise na Martine Fokkens wakiwa kazini.
MAPACHA wenye umri wa miaka 70 nchini Amsterdam, Uholanzi, wameamua
kustaafu kazi yao ya ukahaba baada ya kuifanya kwa miaka 50. Mapacha hao
Louise na Martine Fokkens wameamua kustaafu baada ya umri kuwatupa
mkono na kudai kuwa kwa sasa hawapati wateja.
Louise na Martine wamelala
na jumla ya wanaume takribani 355,000, kila mmoja akiwa amejivinjari na
wastani wa wanaume 177,500 kwa kipindi cha miaka 50, ambapo kwa mwaka
mmoja kila mmoja alikuwa analala na wanaume 3,550 sawa na wanaume 295
kwa mwezi na kwa siku wanaume 9.
Mapacha hao ambao walikuwa wakipenda kuvaa sare ya
nguo nyekundu walitoa Filamu ya simulizi za kweli iitwayo 'Meet the
Fokkens' na wanatarajia kutoa kitabu kitakachoelezea safari yao katika
biashara ya ngono.
CHANZO: Thestir.cafemom.com
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII