MADARAJA MAPYA YA KUFAULU KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE ....DUH!! KWA STYLE HII WANAFUNZI WATACHOMOKA KWELI?????????
Serikali
kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya
alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni
kama ifuatavyo:
A = 81%-100%
B = 61%-80%
C = 41%-60%
D = 21%-40%
F = 0%-20%
Mabadiliko mapya yamefanywa na sasa madaraja MAPYA ni kama ifuatavyo:
A = 80%-100%
B = 65%-79%
C = 50%-64%
D = 35%-49%
F = 0%-34%
Taarifa imetolewa mapema ili wanafunzi kwa kidato cha nne waanze kujiandaa vyema na mitihani ijayo.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
hamna atae toka kwa hali hii, afu mm nahisi ndo hayo madaraja waliotumia mwaka huu, aisee mtu inabid uwe...........!!
ReplyDelete