Tamara Klajn alipo mpokea Leticia Nyerere kwenye bunge la senate mjini Washington, DC
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Mhe. Leticia Nyerere akipokelewa na
Tamara Klajn, mtaalam kamati ya mambo ya nje (Committee on Foreign
Relations), kwa ajili ya mazungumzo na senate kuhusu mfumo wa mabunge
mawili yanavyofanya kazi Siku ya Ijumaa March 15, 2013 katika jengo la
Senate Dirksen lililopo Capital Hill Jijini Washington, DC. (Picha na swahilivilla.blogspot.com)
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA), Mhe Leticia Nyerere akiwa kwenye ofisi
ya senate ya mambo ya nje alipo fanya mazungumzo na Tamara Klajn,
mtaalam kamati ya mambo ya nje (Committee on Foreign Relations),leo
Ijumaa March 15, 2013 jijini Washington, DC
\ Mbunge
wa viti maalumu (CHADEMA), Mhe Leticia Nyerere akipata ufafanuzi
kutoka kwa mtaalamu wa senate kitengo cha mambo ya nje, Tamara Klajn
jinsi mabunge mawili yanavyo fanya kazi nchini Marekani
Mh. Leticia Nyerere na Mtaalamu wa senate mambo ya nje, Tamara Klajn
wakimsikiliza kwa makini mwanasiasa wa Marekani, Rick Tingling,
akielezea historia ya mabunge mawili
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA), Mhe Leticia Nyerere akiendelea kupata
maelezo namna mabunge mawili yanavyo fanya kazi huku Liberatus
Mwang'ombe akinukuu mazungumzo yao
Mhe Leticia Nyerere akipata picha ya pamoja baada ya mazungumzo kwenye bunge la senate
Credits to: http://swahilivilla.blogspot.com
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII