ALICHOKIANDIKA MANGE KIMAMBI KUHUSU KUFUNGUA KIWANDA CHA NGUO TANZANIA....SOMA MWENYEWE HAPA
ONE OF MY BIGGEST DREAMS IS FINALLY COMING TRUE.
I HAVE ALWAYS DREAMT OF SETTING UP A HUGE BONGOLICIOUS PRODUCTION FACTORY IN TANZANIA.
ALTHOUGH THIS IS
NOWHEERE CLOSE TO A HUGE PRODUCTION FACTORY BUT IT'S A GREAT START
THIS TIME SIKUJA TU BONGO KUUZA ZILE NGUO ZA READY MADE ILA PIA NILIKUJA
KUFANYA MAJARIBIO YA KUPRODUCE NGUO ZA VITENGE HAPA HAPA TANZANI.
NILIFANYA MAJARIBIO YA NGUO 500. NILIKUSANYA MAFUNDI 9. 7 WANAAUME NA 2
WANAWAKE. I BROUGHT WITH ME HIGH END PRODUCTION SKILLS AND TECHNOLOGY
FROM THE US.
YANI WALITUMIA HIZO HIZO CHEREHANI ZAO WAKAONGEZEA NA UJUZI NILIOWALETEA
KUTOKA MAREKANI NA WALIWEZA KUNITENGENEZEA NGUO ZENNYE QUALITY KAMA
ZILE ZILE NAZOTENGENEZA MAREKANI....
KWA KWELI IM SO AMAZED. SASA NNA MPANGO WA KUWAPANGIA SEHEMU KUBWAAAA
ZAIDI NA KUWALETEA CHEREHANI MPYA KABISAAAAAA KUTOKA CHINA (OFCOURSE)
ILI WAWEZA KUFANYA KAZI KWA HARAKA ZAIDI.
GUYS NDANI YA SIKU 12 NILIZOKAA BONGO MAFUNDI 9 WAMEWEZA KUNITENGENEZEA NGUO KARIBIA 500. ISNT THAT AMAZING????
JAMANI MIE I LOVE LOVE LOVE TANZANIA,YANI HAKUNA SEHEMU DUNIANI NAIPENDA
KAMA TANZANIA NA SASA HIVI NAVYOONA KUWA HATA BIASHARA YANGU ITAWEZA
KUONGEZA AJIRA NCHINI MWANGU
KWA KWELI IM VERY VERY VERY PROUD OF MYSELF.....
YANI FOR 12 DAYS HAWA MAFUNDI WAMENIAMBIA WAMETENGEZA PESA NYINGI KWA
WAKATI MMOJA WHICH MEANS WANAWEZA KUTUMIA PESA YAO KUFANYIA KITU CHA
MAANA MAANA WAMEZOEA KULIPWA
PESA YA NGUO MOJA MOJA AMBAYO MWISHO WA SIKU HAIWASAIDII SANA ZAIDI YA KUWASAIDIA KULA CHAKULA TU.
KWA KWELI I WAS TOUCHED TO HEAR THIS...
ANWAYS SIWEZI KUSEMA MIE NIMEWASAIDIA WAO TU, NA WAO WAMENISAIDIA MIMI
SANA SABABU IT WAS VERY EXPENSIVE KUTENGENEZA NGUO MAREKANI.....
KWA SASA HIVI NTAENDELEE KUSHONA SOME NGUOS MAREKANI NA NYINGINE
TANZANIA MPAKA HAPO PRODUCTION CHANNEL YANGU YA TANZANIA ITAKAPOKUWA
STABLE.....
THERES A LOT OF INVESTMENT TO BE DONE BUT IM VERY OPTIMISTIC KWA KWELI......
NA WENYEWE WAPO VERY VERY EXCITED KUSHONA NGUO AMBAZO ZINAENDA KUUZWA NJE YA TANZANIA.
KUANZIA SASA KUTAKUWA KUNA NGUO ZA BONGOLICIOUS AMBAZO LABEL ITASEMA MADE IN TANZANIA NA ZINGINE MADE IN USA.
GUYS MSIOGOPE KABISA KUNUNUA HIZI NGUO ETI SABABU ZIMETENGENEZWA TANZANIA, TRUST ME THEY ARE OF INTERNATIONAL STANDARDS.
WE NEED TO SUPPORT OUR OWN PEOPLE. NUNUA HATA NGUO MOJA UJARIBU KWANZA KABLA HUJAKANDIA KUWA NI CHA TANZANIA.....
NOW MTAELEWA JINA LA BONGOLICIOUS, THE VISION WAS AN AFRICAN
INSPIRED/STYLE CLOTHING LINE OWNED BY A TANZANIAN AND PRODUCED IN
BONGO/TANZANIA....HENCE THE NAME BONGOLICIOUS
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII