Ni upumbavu mtupu, hivi hawa wanaofanya hivi hawana watoto? au hawana wazazi? kuna haja ya serikali kuingilia kati na kusitisha kabisa shughuli za hili kundi maana halina chochote cha kuifundisha jamii zaidi ya uzinzi.
watu wzirudie dini zao kulaumu serikali haisaidii kwani ipo mikopo ya finca,pride,bank na mfuko wa rais ni watu wenyewe kukubari kuchukua, lakini hawa watanzania wenzetu hawapendi.
Ni upumbavu mtupu, hivi hawa wanaofanya hivi hawana watoto? au hawana wazazi? kuna haja ya serikali kuingilia kati na kusitisha kabisa shughuli za hili kundi maana halina chochote cha kuifundisha jamii zaidi ya uzinzi.
ReplyDeleteyeye hana makosa, kama serikali ingemupa mkopo bila shaka angejitafutia shughuli ingine ya kufanya, lakini kwa kufanya hivyo ndiyo kula yake
ReplyDeletewatu wzirudie dini zao kulaumu serikali haisaidii kwani ipo mikopo ya finca,pride,bank na mfuko wa rais ni watu wenyewe kukubari kuchukua, lakini hawa watanzania wenzetu hawapendi.
ReplyDelete