BREAKING NEWS: MSANII WA BONGO FLAVA MANGWAIR AFARIKI DUNIA LEO AKIWA SOUTH AFRIKA

BREAKING
NEWS: Mwanamuziki wa Hip-Hop ALBERT MANGWAIR amefariki dunia LEO huko
Afrika Kusini katika hospitali ya Hellena Joseph. Endelea kusikiliza East Africa Radio na kutazama East Africa Television (EATV) kwa habari zaidi.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII