Mhadhiri wa chuo kikuu amtetea Ommy Dimpoz na kusema kilichomponza ni kutojua kujibu maswali ya waandishi wa habari.
Huyu ni mhadhiri wa chuo kikuu cha
mzumbe na pia ndio yule mwl wa chuo kikuu anayefanya bongo fleva.
Yeye kama Msomi mzuri na mwalimu wa
wasomi wa chuo kikuu,ameona kabisa Ommy Dimpoz hana makosa kabisa na
amewaomba watanzania wamuelewe Ommy Dimpoz na kumsamehe.
Haya ndio maneno ya huyu mhadhiri wa chuo kikuu Issaya Lupogo jina la kisanii Lupojizo.
''Binafsi
nasikitishwa sana na mashabiki kumfanyia Ommy Dimpoz mambo haya mabaya.
Nilimsikiliza sana Ommy Dimpoz siku ya KTMA, hakumaanisha kama watu
suku hizi wanavyotafsiri.
Alichikisema
Ommy kwa namna nyingine kinaweza kutafsiriwa kama wadau na serikali
zitoe kipaumbele na kuthamini kazi za wasanii wa nyumbani ili wasanii
wanufaike zaidi na siku ya mwisho wasife masikini. Huu ni ukweli kabisa
kuhusu hali iliyopo kwa wasanii sasa. Wasanii wananyonywa na
kudhulumiwa, mwisho wa siku msanii anaishia kupata umaarufu tu usio na
kitu chochote.
Huyu ni mhadhiri wa chuo kikuu cha
mzumbe na pia ndio yule mwl wa chuo kikuu anayefanya bongo fleva.
Yeye kama Msomi mzuri na mwalimu wa
wasomi wa chuo kikuu,ameona kabisa Ommy Dimpoz hana makosa kabisa na
amewaomba watanzania wamuelewe Ommy Dimpoz na kumsamehe.
Haya ndio maneno ya huyu mhadhiri wa chuo kikuu Issaya Lupogo jina la kisanii Lupojizo.
Alichikisema Ommy kwa namna nyingine kinaweza kutafsiriwa kama wadau na serikali zitoe kipaumbele na kuthamini kazi za wasanii wa nyumbani ili wasanii wanufaike zaidi na siku ya mwisho wasife masikini. Huu ni ukweli kabisa kuhusu hali iliyopo kwa wasanii sasa. Wasanii wananyonywa na kudhulumiwa, mwisho wa siku msanii anaishia kupata umaarufu tu usio na kitu chochote.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII