DUH!! TAZAMA PICHA ZA LOWASA ALIVYOKUSANYA WATU KWENYE UZINDUZI WA CHAMA CHA BODABODA DAR LEO
Imedhihirika wazi kwamba Mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali
pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati
alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa chama chao leo jijini Dar es salaam.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII