DUUH!! HII SKENDO WEMA ATACHOMOKEA WAPI? AAMUA KUTOKA NA DOGODOGO HUYU, SOMA NA SIKILIZA UTHIBITISHO HAPA
Mrembo anayekimbiza katika tasnia ya Bongomovies Wema Sepetu amekumbwa na skendo nyingine matata kama kawaida yake, baada ya Diamond kutoeleweka sasa aamua kutoka na msanii wa Bongofleva ambaye ni mdogo saaana kiumri kwake ajulikanaye kwa jina la Mirror ambaye alihit sana na ngoma yake ya MY ONE AND ONLY. Akichokonolewa gossip cop leo Mirror aliruka vihunzi tuhuma hizo lakini rafiki yake wa karibu bila kujua kuwa gossip cop anamtega alimwaga mkanda mzima hapa,
SIKILIZA MWENYEWE HAPA
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII