HIVI HIZI MOVIE BASATA WAKO WAPI?? TAZAMA PICHA ZA BEHIND THE SCENA ZA MOVIE YA KIBONGO INAYOTARAJIWA KUTOKA HIVI KARIBUNI, NI AIBU


Hakika tasnia ya filamu kwa hapa bongo na hata baadhi ya nchi za Afrika zimekuwa zikipotosha na kuharibu jamii zetu hasa vijana.

Kwenye moja kati ya filamu ambazo inategeme kutoka hivi karibuni hizi ni baadhi ya shots zilizochukuliwa....





Je hii ni sahihi kwa maadili ya Kiafrika...?
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

1 comment:

  1. Pumbaaaaf thana!...BASATA lenyewe limeshakuwa Baraza la Sanaa chafu kutoka Tanzania.how comes they can ban off nudic films.Wote washeeenzi tu.

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs