HONGERA MDAU, JAMCO KWA KUZALIWA JANA....GOD BLESS U
Kuanzia kulia ni Dada Rehema Kalumuna, Jamco anaesherekea siku yake,
Mrs Jamco Jamira Jamali na Ashiraf Kalumuna katika picha ya kumbukumbu
Wadau waliojumuika kumpongeza Jamco Bi Edith Mashasi na Bi Letty katika pozz
Mh Murungi Kichwabuta na Ernest Nyambo wakitabasamu
Cherees
Mdau Rahimu Kabyemela na O ptat K atibu wakisubiri shughuli
Super Mkude hakika siku hiyo alifurahi sana
Mdau Rebelatar Manyere akiwasili eneo la tukio
Kwa raha zake Mrs Manyere
Mwenyekiti wa kampuni ya Kitendaguro na Hotel za Walkgard Mr Matungwa (kulia) akiwa na Super Mkude
Makofi kwa wingi Jamco akiingia eneo la tukio
Mdogo mtu Kamala(Mnec) akiwa na Lily Peter Mwise
Jamco na Mkewe wakiitendea haki keki
Mama chukua kipande cha keki tufurahie pamoja
Jamani keki ni tamuuuu
Mzee Paul Bashereka na Mama Bashereka wakifurahia keki
Karibu keki Bi Walda
Super Mkude karibu
Ongera kaka yangu kutimiza miaka kadhaa
Karibu keki Kijana Wangu Amidu mtataa
Mr Samwel kutoka Arusha nae alikuwepo
Ongera kijana
Mungu akubariki na kukuongoza katika majukumu yako ya kila siku

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII