KILICHOJIRI JANA SIKU YA BOXING DAY COCO BEACH


Mlevi akiwa amezima mchana kweupee baada ya kunywa pombe kupita kiasi.
Mashost wakiwa wanazurula ufukweni.
Chegge na Y-p wakitoa burudani.
Y-p na Chegge wakishikana mikono na mashabiki.
Mashabiki wakishangilia shoo kali kutoka kwa wasanii.
Zuwena akimlilia mama yake baada ya kupotezana naye.
Mjasiria mali akiuza maboya pembezoni mwa fukwe.
Biashara ya Maboya ilishamiri  ufukweni.
Wapenzi wakipanga jambo.
Mtoto Edwin akiwatafuta wazazi wake.
(PICHA/HABARI: SHANI RAMADHANI NA DEOGRATIUS MONGELA/GPL)
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs