Inawezekana kabisa waliotakiwa kuwajibishwa ni hawa wanajeshi waliofanya huu unyama, inatia huruma sana kutazama hii video, lakini tumezoea kuona wakubwa wakiwajibishwa kutokana na madudu wanayofanya watu wa chini...Inatia huruma sana hebu angalia hii video hapa
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII