MATOKEO YA LIGI EPL, LIVERPOOL WASHIKA USUKANI SASA
Wachezaji wa Liverpool wakimpongeza Luis Suarez (wa pili kulia) baada ya kuwafungia moja ya bao dhidi ya Cardiff leo
Manchester
United 3-1 West Ham, Liverpool 3-1 Cardiff, Fulham 2-4 Manchester City,
Crystal Palace 0-3 Newcastle, Stoke 2-1 Aston Villa, Sunderland 0-0
Norwich, West Brom 1-1 Hull. Kwa matokeo ya leo, Liverpool wameongoza
Ligi Kuu ya England wakiwa na pointi 36 wakifuatiwa na Manchester City
pointi 35 na Arsenal pointi 35!
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII