NEY WA MITEGO APIGA PICHA ZENYE UTATA, BOFYA HAPA
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,
amefungua ukurasa mpya wa skendo baada kuachia picha zake alizozipiga
kihasarahara akiwa laivu na warembo katika chumba cha hoteli moja
maarufu jijini Nairobi nchini Kenya.
Nay wa Mitegho ambaye alienda Nairobi hivi karibuni na kukutana na wasanii kadhaa wa jijini humo ambao walimtembeza katika viwanja kadhaa vya starehe katika mishemishe za kujirusha na kugundua kwamba anakubalika sana nchini humo.
...Mtu kati “ Nilipokuwa Nairobi nimepiga picha nyingi kutokana na kuwa na mashabiki wengi nchini humo lakini zipo nyingine ambazo kwa kweli si nzuri ila nilizipiga kwa ajili ya video yangu mpya,” alisema Nay wa Mitego.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII