PICHA ZA MAJERUHI WA AJALI YA BASI ILIYOTOKEA LEO HUKO TANGA
Basi la Burudani leo limepata ajali kijiji cha Taula Wilaya ya Handeni, watu 12 hadi sasa wamefariki na majeruhi zaidi ya 55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee majeruhi.
SOURCE : GPL
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII