Wale Wadau wa Movie za KIKOREA, Hii hapa Kali sanaaa (IRIS)
BongoNewz
Iris ni movie ya kikorea inayoelezea story ya kijasusi kati ya nchi mbili, korea kusini na korea kaskazini. Organization ya Siri ya kijasusi iliyokuwa ikiendesha shughuli zake kwa siri kubwa kiasi kwamba hata Rais wa nchi alikuwa haifahamu japokuwa ilikuwa ikifanya kazi kwa manufaa ya nchi ya korea, Usaliti, mapenzi, mauaji na matukio mengine ya kuvutia yamo humu....you can watch this movie here.Hawa ni baadhi ya waigizaji maarufu nchini Korea waliocheza hii movie
This is the trailler movie of IRIS, you can watch it here.......Ni movie nzuri sana
Iris ni movie ya kikorea inayoelezea story ya kijasusi kati ya nchi mbili, korea kusini na korea kaskazini. Organization ya Siri ya kijasusi iliyokuwa ikiendesha shughuli zake kwa siri kubwa kiasi kwamba hata Rais wa nchi alikuwa haifahamu japokuwa ilikuwa ikifanya kazi kwa manufaa ya nchi ya korea, Usaliti, mapenzi, mauaji na matukio mengine ya kuvutia yamo humu....you can watch this movie here.Hawa ni baadhi ya waigizaji maarufu nchini Korea waliocheza hii movie
Lee Byeong-Heon and Kim Tae-hee |
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII