HIZI NDO NYUMBA YA MCH, RWAKATARE & DK. CHENI ZINAZOTAKA KUBOMOLEWA

BongoNewz
Hii ndo nyumba ya mchungaji Rwakatare aliyoijenga kwa mamilioni ya pesa, nyumba hii iko katika hatihati za kubomolewa kutokana na kujengwa maeneo ambayo ni hifadhi ya kimazingira. Nyumba hii iko mbezi Beach ambapo imejengwa pembeni ya hifadhi ya miti ya mikoko, Baraza la taifa la mazingira NEMC lilikwisha toa amri ya kubomolewa lakini mama Lwakatare alikweka pingamizi mahakamani.....nyumba nyingine katika eneo hilo zimekwisha bomolewa.
Jumba la Kifahari la Mchungaji Rwakatare
Hii chini ni nyumba ya muigizaji Dk Cheni ambayo inataka kubomolewa ili kumpisha muwekezaji ambaye ameamrishwa na serikali awalipe fidia kabla hajabomoa nyumba hizo kwa ajili ya uwekezaji wake
Numba ya Dk. Cheni
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs