CPWAA NA AY WAFANYA INTERVIEW CLOUDS FM KUHUSU CHANNEL O MUSIC VIDEO AWARDS 2012

Alhamisi ya tarehe 25 mwezi wa October, kipindi cha XXL chini ya B12,Adam Mchomvu na DJ Fetty kilifanya exclusive interview na CPWAA pamoja na AY kuhusiana na nomination yao na jinsi ya kupiga kura kwenye tuzo za Channel O Music Video Awards 2012. Interview ilikuwa nzuri, walijibu maswali vizuri na kuwaelekeza watu jinsi ya kutupigia kura.

Most unforgettable event kwenye hii interview ni pale Adam Mchomvu alipomuomba AY amuimbie mama yangu mzazi wimbo wa Happy Birthday, bila kusita AY aliliaanzisha na wote studio nzima tukamuimbia mama yangu wimbo huo.tarehe 25 October ni tarehe ya kuzaliwa mama yangu mzazi.Alifurahi sana kusikia na simu kibao zilimiminika wakati tukimuimbia kiasi kwamba hakuweza hata kusikiliza tena interview yetu. anawashukuru wote.

Adam Mchomvu a.k.a Baba Jonii na B12 ndani ya XXL ya Clouds FM.

AY singing “Happy Birthday” for CPwaa’s Mom, who had an exclusive HBD shout out from XXL during the interview.

DJ Fetty, B12,AY, CPwaa na Adam Mchomvu.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs