P-FUNK MAJANI AFUNGUKA YA MOYONI KUPITIA FACEBOOK...

Siku ya jana producer mkali aliweza kuwaoneshea njia wasanii kama Juma Nature, Jay Moe na wengine wengi kutokana na production zake alizokuwa anafanya kupitia studio yake ya Bongo Records ambayo yeye mwenyewe ndio mmliki. But siku ya jana kupitia  Facebook Account yake P-Funk Majani aliweza kupost picha ya studio yake yenye ujumbe usemao,”THIS LIL BABY OF MINE DONE MADE A WHOLE BUNCH OF PEOPLE RICH< AND IS THIS THE THANKS I GET? @BONGO RECORDZ HOME OF BONGO FLAVA!!” kama unavyooona kwenye picha hapo juu.
Baada ya kupost ujumbe huo kulikuwa na Comments za watu wengi, ilifika kipindi Majani alilazimika kufunguka aliyonayo baada ya ndugu Paul Tha Gwax kucomment akimwambia P-funk kama hivi” wewe na vijana wako si bangiiii tupu! tulizana
Zaidi aliendelea tena na Comment Isemayo hivi:

Ndipo Majani alipomjibu kwa kumuandikia hivi:

Baada ya P-Funk kumwambia hayo alizidi kufunga na kumueleza mchango wake katika Bongo Flavour na zaidi kufunguka kuwa hata mafanikio ya Clouds Media kuweza kuheshimika hapa nchini ni kutokakana na kiasi flani cha jitiada zake alizozifanya. Na hivi ndivyo P-Funk alivyokuwa anafunguka:

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs