HIZI NDIZO PICHA ZA RIHANNA ZA UTUPU....
Kwa
kawaida jarida lenye title ‘Men of the Year’ lingekuwa na picha ya
mwanaume wa shoka akiwa katika pozi lake, lakini picha ya Queen Rihanna
akiwa mtupu inaonekana kuvuka hii mipaka ya mawazo ya kijinsia kulipamba
jarada la jarida hilo kwa pozi la kichokozi.
Katika
hiyo picha RiRi anaonekana akiwa amepozi akiwa amevaa leather jacket
kwa juu na kuacha sehemu nyingine zote bila pamba ya aina yoyote huku
mkono wake ukipoz ‘somewhere.
Kwa
kuwa katika hiyo page ya juu ya jarida hilo la ‘Men of The Year’ ‘the
Diamond singer’ amesababisha liongezewe sentensi kwenye mabano na
kusomeka ‘Man of the Year (And One Hot Woman), na the R&B singer
anaonekana kuwapa kampani wanaume wa mwaka Channing Tatu,, Ben Affleck,
Quentin Tarantino na Usain Bolt.
Rihanna & Kate Moss |
Rihanna
hivi karibuni ameng’arisha majarida kadhaa kwa picha zake za utupu
ambapo zilionekana kwenye ‘V Magazine’, akiwa amepozi na super model
Kate Moss wote wakiwa watupu katika picha kadhaa.
Japokuwa
RiRi anaonekana kupiga picha za utupu katika matukio kibao lakini mwaka
2010 mwanadada huyo alisema hatopiga picha hizo. “nimepata offer
kufanya Playboy actually. Walitaka kunilipa nitokee mtupu kwenye cover.”
Alisema Rihanna a good girl by then, “kama ntavua nguo zangu, it has to
be in a classy way na uamuzi wangu, not a check. Na sitachukua pesa
yeyote kwa ajili ya hilo.”
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII