BREAKING NEWZ : MRIPUKO WATOKEA KATIKA KANISA KATOLIKI HUKO ARUSHA, WATU KADHAA WAMEJERUHIWA, SOMA HABARI KAMILI HAPA
Taarifa 
 zilizotufikia  hivi  punde  ni  kwamba  bomu  limelipuka  katika  
kanisa  katoliki, parokia  mpya  ya Olasisi  iliyokuwa  inazinduliwa  
leo  jijini  arusha..... 
  
Chanzo cha mlipuko huo inasemekana kuwa kuna gari ndogo ilifika kanisani hapo na kusimama....
Baadae alishuka mtu aliyekuwa amevalia vazi mithili ya kanzu na kurusha kitu kuelekea kanisani ambacho ndicho kilichosababisha mlipuko huo..
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa ni balozi wa Vatican nchini Tanzania.Yupo baada ya kunusurika katika mlipuko huo
Hizi ni taarifa za awali tu. Taarifa kamili itawekwa itakapopatikana. Tafadhali endelea kusikiliza Redio Maria Tanzania (inasikika pia online muda huu wakiwa wanatangaza kuhusu tukio hili )
Bomu  hilo  limelipuka  wakati  waumini  wa  kanisa  hilo  wa  wakijiandaa  na  misa  ya  uzinduzi  wa  parokia  hiyo....
Mpaka  sasa  haijajulikana  idadi  kamili  ya  watu  waliojeruhiwa  ama  kupoteza  maisha  lakini taarifa  za  awali  zinasema  kuwa  baadhi  ya  majeruhi  wamekimbizwa  hospitali
Chanzo cha mlipuko huo inasemekana kuwa kuna gari ndogo ilifika kanisani hapo na kusimama....
Baadae alishuka mtu aliyekuwa amevalia vazi mithili ya kanzu na kurusha kitu kuelekea kanisani ambacho ndicho kilichosababisha mlipuko huo..
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa ni balozi wa Vatican nchini Tanzania.Yupo baada ya kunusurika katika mlipuko huo
Hizi ni taarifa za awali tu. Taarifa kamili itawekwa itakapopatikana. Tafadhali endelea kusikiliza Redio Maria Tanzania (inasikika pia online muda huu wakiwa wanatangaza kuhusu tukio hili )
 
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII