HIKI NDICHO ALICHOANDIKA JIDE BAADA YA RUGE KUMJIBU LEO
 
 
Mwanadada 
jay dee baada ya leo kuamka mapema na ku tweet kwamba amepigiwa simu 
nying sana lkn amekuta miscall, huku akiuliza kupitia tweet yake hiyo 
kwani kuna nini, watu waliendelea kumpasha habari ya kua RUGE amejibu 
maneno yake yote, hivyo na yeye kuamua kuyafuatilia mpaka kuyapata sasa 
hichi ndicho alichoandoika….
“”Kama
 mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni 
deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya 
kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake…Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio 
linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender”" ameandika jide kupitia 
mitandao ya kijamii.
 
 
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
http://pekuatz.com/stories/pekuatztv/mkurugenzi-wa-clouds-media-group-ruge-mutahaba-power-breakfast-angalia-aliyoyasema
ReplyDelete