BIFU ZITO KATI YA ZAMARADI NA RAY C LAIBUKA, SOMA MADONGO WALIYOKUWA WAKIPIGANA INSTAGRAM HAPA
So Rehema Chalamila aka Ray C na
mtangazaji wa kipindi cha Take One cha Clouds TV, Zamaradi Mketema
haziivi? Katika kile kilichoacha wazi midomo ya watu wengi, warembo hao
leo wameingia kwenye vita vya maneno kwenye mtandao wa Instagram.
Alianza Zamaradi aliyepost picha yenye maneno ya mafumbo:
Picha hiyo aliiandikia maneno haya:
Picha hiyo aliiandikia maneno haya:
Huwezi amini sikuchukii ila nimezidi kukudharau!!!! Katika watu wa
mwisho kabisa ambao siwezi kupanic nao hata siku moja ni WEWE.. Dont
waste your energy.. you have so much to accomplish ndugu.. mi hunipi
tabu kabsa, kabsaa, kabisaaaaaaaaa yani sanasana unanichekesha tu na
vituko visivyoisha.. lol!! Ila sikulaumu sana sio kosa lako maskini…
ungekuwa una akili usingefanya hayo ya kitoto tena hasa KWA KIPINDI
HIKI.. na huenda hiyo sio akili yako mwaya.. NIMEKUSAMEHE BURE maana
hapo ulipo hujielewi bado.. Dramas Dramas Dramas… sizipendagi ila huwa
zinanifata zenyewe.. lol!!! Mbona naandamwaga hivi jamani kwani kosa
langu nini mimi mtoto wa watu… hahahahahaaaa majanga haya @wemasepetu
anyways sorry to my good people jamani kwa mapost ya aina hii..
sometimes inabidi coz mwisho wa siku mi ni binaadamu tu wa kawaida.”
Wema naye aliongeza kwa kuchangia: Mbona majanga….. dont waste ur tym
to fools maamy…. nawe utaonekana a fool… fanya yako… wanaokufatilia
wanatamani wawe kama wewe… na si kingine its called ENVY.”
“Sina hata time nae mammy bado ana vichembechembe kwenye ubongo..
maana ghafla tu anaanza kuniparamia jamani.. lol!!! Kishafulia anatafuta
kick kwa kugombana na watu.. mtu wa zamani,” aliongeza Zamaradi.
Japokuwa Zamaradi hakutaja wazi nani mlengwa wa ujumbe huo, ni Ray C
mwenyewe ndiye aliyejibu kwenye maelezo ndani ya post yake kwenye
mtandao huo akisema:
“Hihihi kazi kwelikweli mi naweza posts zangu watu wanajihisi au
wanaumia. Tatizo skuliiiii shauri yako #uki skuli kdg wala matatizo
hakuna ila km huja skuliii mweeeh unakua mbulula mama we hujui fanya
yako achana na watu weusi,” aliandika Ray C.
Aliongeza tena, “Haswa anajiona kichwa kumbe mbulula haswaa Hana
lolote,Watu wameanza shughuli hizo anazofanya wenzie tulishazifanya
kitambooooooooo,tushauza sura sanaaaaaaaaaa zaid ya miaka. 12
namuangalia simmalizi maana haeleweki.”
Haukuishia hapo, Zamaradi aliongeza tena kwa kuweka post mpya.
“Nashusha sana hadhi yangu kwakweli dealing with watu wenye hasira na
maisha ya watu wengine… this is not ME kabisa. Una mengi ya kutukaniwa
lkn mi ni binaadamu ninaejua baya na zuri.. maisha yashakushinda wewe
sasa USIPANIC.. jipange. Ushafanywa yote ya dunia ntakuweza wapi mie mtu
wa zamani,” aliandika Zamaradi kwenye picha hiyo.
Ray C alijibu kwa kuposy video hii:
Source : Bongo5
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII