BANZA STONE AJITABIRIA KIFO CHAKE, AKATA TAMAA YA KUISHI..
Mwanamuziki nguli wa Muziki wa Dansi Ramadhan Masanja a.k.a Banza Stone ametoa kauli ambayo imewastua wengi pale alipokuwa akifanya mahojiano na Millard Ayo wa Clouds FM.
Baada ya kukubali kwamba amekata tamaa ya kuendelea kuishi, staa huyu ambae amepita kwenye bendi nyingi za bongo ikiwemo African Stars (Twanga Pepeta), ameongea exclusive na millardayo.com na kuthibitisha kwamba muda mfupi ujao ataingia studio kurekodi nyimbo sita au 8 zitakazo elezea maisha yake, yani anataka hizo nyimbo ziwe zinachezwa au kusikilizwa sana atakapofariki.
Namkariri akisema “ninavyovitarajia kwenda kuvirekodi kwenye hii album yangu mpya miongoni mwa nyimbo hizi ‘ndivyo nilivyo’ na ‘maisha yangu’ zitawagusa watu kiasi kwamba wanaweza wakatoa machozi”
Chanzo cha kufanya haya yote ni kwasababu ameota ndoto siku chache zilizopita kwamba hana siku nyingi za kuishi duniani, namkariri akisema “hiyo ndoto nimeiota siku mbili tatu, ndoto inaweza kuwa na ukweli au isiwe kweli, najihisi kama nimekata tamaa kwenye maisha yangu lakini nipo tayari Mungu akinipenda, mi siumwi isipokua nina imani kwamba ipo siku tu Mungu akinipenda nitakwenda kwake siogopi kifo hata kidogo”
Kwenye line nyingine, Banza amesema ni kweli sasa hivi anapitia kwenye maisha magumu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungua kwa kipato chake.
(www.millardayo.com) BANZA STONE ON KUKATA TAMAA YA MAISHA by Millard Ayo TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

MSIKILIZE HAPA LIVE AKIONGEA NA MILLARD AYO KATIKA LINK HII CHINI
(www.millardayo.com) BANZA STONE ON KUKATA TAMAA YA MAISHA by Millard Ayo
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII