CHADEMA ARUSHA WAIGOMEA POLISI - Mkuu wa wilaya na mpango wa Kufunga uwanja wa NMC leo jioni
BongoNewz
Inasemekana baada ya njia zote za kudhibiti mkutano wa CHADEMA hapo kesho kushindikana, mkuu wa wilaya ya Arusha mjini na meya wa CCM Gaudence Lyimo wamekutana na kuweka mkakati wa kuufunga uwanja wa NMC leo usiku ili kuthibiti dhamira ya CHADEMA ya kufanya mkutano huo.
Katika mpango huo, OCD ametakiwa kuwaandikia CHADEMA barua nyingine yenye sababu nyingine kuwa uwanja umefungwa ili wamachinga waweze kuhamia baada ya sababu ya awali kukataliwa na CHADEMA kuwa hawaruhusiwi kufanya mkutano kwa sababu darasa la saba wanafanya mtihani.
Jambo hili limenung'unikiwa na madiwani wote wakiwemo wa CCM kuwa maamuzi haya hayakuwa yamefikiwa hitimisho la kuufunga uwanja wa NMC (open space) na kuwa masihara haya na kukiwinda CHADEMA kisifanye mikutano ndicho chanzo cha mabalaa mengi hapa mjini. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Inasemekana baada ya njia zote za kudhibiti mkutano wa CHADEMA hapo kesho kushindikana, mkuu wa wilaya ya Arusha mjini na meya wa CCM Gaudence Lyimo wamekutana na kuweka mkakati wa kuufunga uwanja wa NMC leo usiku ili kuthibiti dhamira ya CHADEMA ya kufanya mkutano huo.
Katika mpango huo, OCD ametakiwa kuwaandikia CHADEMA barua nyingine yenye sababu nyingine kuwa uwanja umefungwa ili wamachinga waweze kuhamia baada ya sababu ya awali kukataliwa na CHADEMA kuwa hawaruhusiwi kufanya mkutano kwa sababu darasa la saba wanafanya mtihani.
Jambo hili limenung'unikiwa na madiwani wote wakiwemo wa CCM kuwa maamuzi haya hayakuwa yamefikiwa hitimisho la kuufunga uwanja wa NMC (open space) na kuwa masihara haya na kukiwinda CHADEMA kisifanye mikutano ndicho chanzo cha mabalaa mengi hapa mjini.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII