Hivi ndivyo Wenje Alivyotikisa Jiji La Mwanza...
BongoNewz
Mheshimiwa Ezekiel Dibogo Wenje, akimwaga sera zake katika viwanja vya Igoma jijini Mwanza...Mheshimiwa Hezekia Wenje Mbunge wa Jimbo la Nyamagana amesema kuwa yeye na viongozi wa Chadema wako tayari kuwasaidia wananchi kutoka katika shida walizonazo.Akizungumza katika mkutano huu uliofanyika katika kata ya Igoma Wenje alisema muda wa wananchi kudanganywa na propaganda ambazo hazina tija umepita na Chadema tumejipanga kulitekeleza hilo.Amesema hata Dokta Slaa, Mheshimiwa Mbowe au Wenje akileta mambo ya ajabu atawekwa pembeni maana Chadema hii ya Watanzania.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII