Kafumu Awafokea waliokata Rufaa kwa ajili yake Igunga

Aliyekuwa Mbunge wa Igunga,Dr. Dalali Kafumu-CCM amekaririwa akisema kuwa tayari ameshafanya maamuzi. Taarifa nilizonazo toka chanzo kilicho karibu na Dr. Kafumu zinasema kuwa uamuzi wenyewe ni wa kutokata Rufaa dhidi ya Hukumu ya Mahakama Kuu- Tabora iliyomvua Ubunge. 'Sina nia ya kukata rufaa na wala sitajihusisha kwa namna yoyote ile na rufaa itakayokatwa na yeyote' alisema Kafumu. ' Kuna watu wa ajabu sana...kwanini wanilazimishhe jambo nisilotaka?' alifoka Dr. Kafumu. Duuh, hebu acha comments zako hapa
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

2 comments:

  1. CCM ni familia ya kambale kila mmoja ana ndevu haijulikani mkubwa nani,mdogo nani na mama nani.

    ReplyDelete
  2. Nashangaa sana wanapomlazimisha mtu kufanya kitu asichokitaka....c wawaweke wake zao kama wana shida sana

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs