"NATAMANI SANA KUWA FREEMASON LAKINI SINA MTU WA KUNIUNGANISHA"....AUNT EZEKIEL
Katika Mahojiano yaliyofanywa na Mtandao wa MPEKUZI, wasanii wa Bongo movies Aunt Ezekiel pamoja na Shilole walifunguka kuhusu kuingia kwenye imani ya Freemason.Wa kwanza kuulizwa alikuwa ni Shilole.Yeye alikana kabisa kuwa hana mpango wa kuwa freemason.......
Kwa upande wa Aunt Ezekiel hali ilkuwa tofauti kidogo.Yeye alidai kuwa kwa muda mrefu sasa amekuwa akifikiria jinsi ya kujiunga na freemason lakini bahati mbaya hajapata mtu wa kumuingiza kwenye channel hiyo ya mafreemason......
Aunt anadai kuwa endapo atafanikiwa kuwa freemason na kuwa na pesa za kutosha, basi atajikita zaidi katika utoaji wa misaada mbali mbali hasa kwa watu wenye uhitaji huo......
Hii ndo video ya Aunt Ezekiel akifunguka, Iangalie hapa

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII