MANGWEA: "Mashoga wanatupunguzia Ushindani wa Kuvuta Watoto Wakali"

Mwana hiphop Bongo, Ngwea amesema ongezeka la mashoga nchini halimpi shida kwani linampunguzia ushindani wa kuwa na madem wakali.

"Mila zetu hata dini hazikubaliani na mtoto wa kiume kuwa shoga.commen sense hata mtoto mdogo anaelewa haina haja ya kuelekezana, lakini sijui ni hulka au nini na huwezi kuwabadilisha au kuwa murder.Ukiangalia mila za kiafrika hata kinamswati machief wetu wamekuwa na wake zaidi ya mmoja, maana wanawake ni wengi na wako kwa ajili ya wanaume, sasa mwanaume unapojiingiza na kuwa mwanamke wanapunguza mchuano, watoto wazuri wanatuachia tu sisi"

sio kama nawaunga mkono, lakini kama wao wameamua kuukata uanaume wao, mi naona poa tu, kwa kuwa wanatuachia watoto wazuri wengi tu" amesema ngwea

How come mtoto wa kiume anakua gay..mambo ya kuiga iga kwa wenzetu wa mbele maana kwao kawaida tu, hata Lil wayme alipoulizwa ujajiskiaje ukipata mtoto wakiume akasema, siwezi kujua kama ni wakiume mpaka atakapo kua ndio nitajua"
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs