HII NDO TANZANIA NA MAAJABU YAKE, ANGALIA VIDEO HII
Kama ulikuwa hujapata kuona maajabu ya Serengeti hebu angalia hii video, hawa ni nyumbu (wildbeest) wanapokuwa katika harakati za kuhama...Movement ya wanyama kama hii dunia nzima ipo serengeti tu na hii ndo imefanya Serengeti iingie kwenye shindano la maajabu saba ya bara la Africa...Hakika Tanzania imebarikiwa kuwa na vivutio vya aina yake...hii ni moja tu ya vivutio vingi vilivyopo Tanzania vingine vikiwa Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro, n.k..Kuwa mzlendo sasa kwa kuvipia vivutio hivi katoka shindano la maajabu saba ya Africa, tuma email kwenda : vote@sevennaturalwonders.org kuviwezesha vivutio vya Tanzania kushinda...
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII