HIZI NDIZO PICHA ZA MATUKIO YA VURUGU KATIKA MECHI YA SENEGAL NA IVORY COAST

BONGONEWZ BLOG
Mawe, vyupa na silaha nyngine zilikuwa zimetawala katika uwanja

Mashabiki wa Senegal wakiwa wameisha moto jukwaani

Kolo Toure akijikinga nyuma ya polisi akisindikizwa kutoka nje ya uwanja

 
Yaya Toure akiongoza msafara wa wachezaji wenzie waliokuwa wakisindikizwa na polisi kutoka nje ya uwanja baada ya mashabiki wa Senegal kuvamia uwanja baada ya kukasirishwa na maamuzi ya refa kuwapa penati Ivory Coast iliyofungwa na Didier Drgba.
CHANZO: SHAFIH DAUDA
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs