TUTAKUKUMBUKA DAIMA BABA YETU.....



BONGONEWZ BLOG
Ni miaka 13 sasa toka umetutoka, hakika Tanzania bila wewe imekosa mwelekeo....tunakuombea kwa Mungu akusamehe makosa yako na kukupumzisha kwa amani, Tunafahamu upendo uliokuwa nao kwa nchi yako na watanzania pia....Hivyo hata kama haupo nasi lakini roho yako itakaa nasi daima na utakumbukwa na kizazi hadi kizazi.......TUNAKUPENDA SANA NA MUNGU AKUPUMZISHE KWA AMANI
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs