MEMBE KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KESHO........
BONGONEWZ BLOG
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mhe. Bernard K. Membe (MB), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kesho Jumamosi tarehe 6 Oktoba, 2012 atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye Ukumbi wa Mikutano hapa Wizarani.
Suala kuu litakalozungumzwa ni suala la mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi.
Mkutano huo utaanza saa tano kamili katika chumba namba 27.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali
Dar es Salaam.
5 Oktoba, 2012 TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

5 Oktoba, 2012
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII