ITAZAME NYUMBA YA KIFAHARI ANAYOMILIKI PETER WA P-SQUARE
Katika picha inayoionesha nyumba hiyo aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram Peter ameandika “My little Squareville in San Fransisco ….. Thank u Lord.”
Tazama picha za ndani ya nyumba hiyo na uone jinsi hawa jamaa walivyo na utajiri.
Peter akimsaidia mchumba wake kupika
Damn!
Family time
Wow! Nice Crib for sure
Sebule haikosi Piano
Mtoto wa Peter akicheza

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII