AGNESS MASOGANGE ATUPIA PICHA INSTAGRAM, AKIWA ANAFANYA MAMBO YA KIKUBWA NA MPENZI WAKE, TAZAMA PICHA HIZO HAPA
Baada ya ukimya wa muda mrefu sasa Agnes Masogange inaelekea alimiss sana kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii. Kudhihirisha hilo ameamua kutupia picha katika mtandao wa instagram akiwa na mpenzi wake wakiwa wanafanya mambo ya kikubwa. What is the meaning of this kama sio kutaka kuandikwa na wadaku katika vyombo vyao vya habari?????????? Ushauri wangu kwake, atafute kitu productive, aandikwe kwa mazuri na sio huu upuuzi anaofanya....naamini akifanya jambo jema pia ataandikwa, na huo ndio umaarufu mzuri, sio kuachia picha za uchi uchi na za ngono
Ni hayo tu......
Mtoto limbukeni na umaarufu, inaonesha hajitambui, hii inadhihirika katika ile video yake iliyotundikwa youtube akionesha akiwa mtupu huku akielekezwa kufanya ujinga na yule jamaa!! Nafikiri shule inachangia, nina shaka na kiwango chake elimu! Pia yawezekana katika maisha yake alikuwa anatamani sana aje kuiga mambo machafu wayafanyao wasanii wa magharibi kwa kuhisi ndio chachu ya kumfanya awe maarufu!
ReplyDeleteStan
ni kweli mdada hajitambui
ReplyDeletehaa she is exacty for seel may god bless her and change maana hata hilo jina ktk acc yake ya instagram linasadifu yaliyomo eti agnesfineassgirl ''fineass'' Yupo sokon Kenya wanaita chips funga
ReplyDeleteSi tatizo lake, makuzi na malezi aliyoyapata Magomeni ndo yanamgharimu, huyu ni mfanyabiashara wa mwili wake, anatangaza bidhaa yake ili wateja wafike bei na kununua, kwa vyangudoa amevuka level moja ya kuweza kufanya biashara kwa kutumia mtandao, ila kijamii tunamsikitikia tu kwa sbb angeweza kujinadi kivingine kwa kutafuta mume na akatulia na maisha yake, kwa sbb wapo wanaopenda presha kama yeye!
ReplyDeleteDamn that's very awkward n' nonsense..., demu jiheshimu basi...wazuri na wenye shape zao wapo wengi sana na wanajiheshimu sio yy na ulimbukeni wake
ReplyDelete