MPAMBANO KATI YA ALI KIBA v/s DIAMOND PLATNUMZ...PIGA KURA YAKO HAPA




Kumekuwa na maneno mengi, watu wengi wanasema ALIKIBA NI MKALI zaidi ya Diamond, Wengine wanasema DIAMOND PLATNUMZ ni mkali zaidi ya Ali Kiba!!! Sasa kutegua kitendawili hicho PIGA KURA YAKO HAPA kwa kuandika JINA la Unayemkubali katika COMMENT, kisha SHARE kwa WALL YAKO ili KURA ZIENDELEE KUPIGWA. MSHINDI TUTAMTANGAZA KUPITIA WEBSITE YETU [http://www.bongo123.com/]. PIGA KURA YAKO KUTENGUA UTATA HUU. Zoezi hili la kupiga kura liko hivi, WEKA COMMENT UKIANDIKA JINA LA MSANII UNAYEMKUBALI [Mfano; Diamond ] katika comment box hapo chini, Kisha SHARE ili kura ziendelee kupigwa. Then baada ya Christimas siku ya Boxing day TUTATANGAZA MSHINDI.  

ANZA SASA KUCOMMENT NA KUSHARE
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs