PICHA : JINSI MAITI ILIVYOKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA HUKO MOROGORO
Mwili wa marehemu Khalid Kitala (47) muda mfupi kabla ya kuifanyia uchunguzi
Watuhumiwa waliokuwa na mwili wa marehemu Khalid Kitala katika kituo kikuu cha polisi Morogoro. PHOTO/MTANDA BLOG
Watuhumiwa wakipanda gari la polisi tayari kwenda kituo kikuu cha polisi.
Kete zilitolewa katika gari baada ya kupekuliwa
Hapa kuna kete aina mbili zinaonekana katika hii picha, za juu nyeupe sana ndizo zilitopatikana katika gari baada ya kupekuliwa na hizo za rangi kama njano kwa mbali ndizo zilitotolewa katika tumbo la marehemu baada ya kupasuliwa.
Huyo ni Dk Lyamuya ambaye aliwapiga chenga waandishi wakati wakimtaka kueleza alichoona wakati wa uchunguzi wa maiti aliyepasuliwa tumbo ili kuweza kubaini kama ni kweli maiti ilikuwa na kete zinazodaiwa kuwa ni madawa ya kulevya lakini baadaye aliongea nao.
Hati za kusafirisia, hiyo ya njano ni ile iliyokuwa ikitumiwa na marehemu Khalid.
Huyo ndiye anayedaiwa kuwa ndiye ndugu wa marehemu, hizo ni karoti wakati wa zoezi la upekuaji.
Mmoja wa makachero wa jeshi la polisi akipekua hadi katika injini ya gari.
Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa Morogoro akiongea na waandishi mara baada ya kumalizika kwa kazi ya uchunguzi huku waandishi wakimtaka kutoa taarifa juu ya tukio hilo ofisini kwake mtaa wa Kitope.
CREDIT : MTANDA BLOG
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII