XCLUSIVE !! DIAMOND AKODI NDEGE BINAFSI KWENDA MWANZA, TAZAMA PICHA
Leo mida hii ya usiku msanii anayemake headline kwenye vyombo vya habari kwa ngoma zake kali pamoja na skendo kibao, Diamond platnumz. Amepost picha akiwa na washikaji zake wakiwa ndani ya private jet kuelekea mwanza ambapo anatarajiwa kwenda kupiga show
HIKI NDICHO ALICHOANDIKA
Flyn to Mwanza with my team...lets all meet at Club Kilimanjaro, Buguluzwa Plaza #Private jet life
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII