RIHANNA KUACHIA NGOMA MPYA DIAMONDS TAREHE 26 SEP
BongoNewz
Siku chache baada ya kutokea kwa tetesi kuwa mwanadadiva yuko mbioni kuachia album yake ya saba, mwenyewe ameamua kuthibitisha katika interview alioifanya na Elvis Duran wa iHeartRadio kuwa ataachia single ya kwanza ya album hiyo inayoitwa Diamonds siku ya jumatano ya tarehe 26 september yaani wiki ijayo,inayobeba jina la album ambayo itatoka soon. U can watch Rihanna here
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII