MAMA WA MSANII 'RECHO' ATAJA SIFA YA MWANAUME ANAYETAKA AMUOE BINTI YAKE.....ISOME HAPA
BONGONEWZ BLOG


Ama hakika hakuna mama anaemtakia maisha mabaya mtoto wake awe wa kike
ama wa kiume, siku zote wako mbele kuhukakisha tunakuwa na maisha
yanayoridhisha..kupitia Top 20 ya Clouds Fm na Fetty mama mzazi wa
msanii Recho alifunguka kuhusu aina ya mwanaume angependa mwanae amuoe,
ambapo licha ya watoto wengi wa kike kukimbilia wanaume wenye pesa, mama
mzazi wa Recho angependa mtoto wake aolewe na mwanaume mwenye Elimu...
Elimu! Akiwa amelenga kupata consistence ya hela!
ReplyDeleteNahisi kaona jinsi wasanii wa kike wanavyoolewa na kuachika na hao wanaowaita sijui mapedeshee.....but kinachomata n mapenzi ya kweli tu usomi na pesa sio ishu
ReplyDelete