MAMA WA MSANII 'RECHO' ATAJA SIFA YA MWANAUME ANAYETAKA AMUOE BINTI YAKE.....ISOME HAPA

BONGONEWZ BLOG
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg22741icet8_e7Ah9uA8RhBQ94psqHBdHCwJKtesXDmUDuRjSGNFBoR-5ImIEugcuavhup2Fn9ToRcAcauG3jatJpywvGpK4xe_x-jXEbgUt07_SmSCJ7hV662Fqz8TP74HQMW3gBuGX6E/s1600/reeeeeecho.jpg

Ama hakika hakuna mama anaemtakia maisha mabaya mtoto wake awe wa kike ama wa kiume, siku zote wako mbele kuhukakisha tunakuwa na maisha yanayoridhisha..kupitia Top 20 ya Clouds Fm na Fetty mama mzazi wa msanii Recho alifunguka kuhusu aina ya mwanaume angependa mwanae amuoe, ambapo licha ya watoto wengi wa kike kukimbilia wanaume wenye pesa, mama mzazi wa Recho angependa mtoto wake aolewe na mwanaume mwenye Elimu... 
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

2 comments:

  1. Elimu! Akiwa amelenga kupata consistence ya hela!

    ReplyDelete
  2. Nahisi kaona jinsi wasanii wa kike wanavyoolewa na kuachika na hao wanaowaita sijui mapedeshee.....but kinachomata n mapenzi ya kweli tu usomi na pesa sio ishu

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs