HUYU NDIO REDD'S MISS TEMEKE 2012

BongoNewz
Huyu ndio miss Redds, Temeke 2012, Eda Sylvester akiwa na washiriki wenzie baada ya kukabidhiwa taji la wilaya...
MREMBO Eda Sylvester usiku wa kuamkia leo amefanikiwa kutwaa taji la Redd's Miss Temeke 2012 katika kinyang'anyiro kilichofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba, Temeke jijini Dar es Salaam. Eda Sylvester mwenye umri wa miaka 21 anatoka katika kitongoji cha Kigamboni na ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua Shahada ya Sanaa.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs