HATIMAYE SUMAYE AFUNGUKA, AELEZEA KILICHOMFANYA ASHINDWE, TETESI ZA KUHAMIA CHADEMA N.K......SOMA ZAIDI
BONGONEWZ BLOG
Hapa katika picha ya chini alipokua akijiandaa kuongea na waandishi wa Wahabari
Hatimaye Mheshimiwa Sumaye azungumza na vyombo vya habari leo katika hotel ya Courtyard Dar kuhusiana na uvumi mwingi ambao unaendelea hapa nchini kuwa anataka kuhama chama baada ya kubwagwa chini ujumbe wa NEC kupitia wilaya ya Hanang, pia amezungumzia sababu zilizomfanya ashindwe na mambo mengine mengi.... hebu soma kile alichokisema hapa chini.....
"Sijawahi kukutana na Chadema wala yeyote wa upinzani.... Lakini upinzani si uadui, ni Watznania... Kama ningekutana nao, ningesema tu kwamba mbona na wengine wanakutana nao na wanagombea Urais...Kuna uvumi mzito kuwa kama nitaingia Chadema nitashughulikiwa.
Dawa si kushughulikia wanaokihama chama bali sababu ya wanachokihama... Kukosa NEC hakuninyimi usingizi wala hakunizuii kugombea Urais kama nitataka...Mwalimu alisema Chama si mama yake, Tusiandame watu bali tuandame maovu
Mambo ya Hanang, yalitokea nchi nzima... Na yalitokea kwa staili tofauti, Tatizo ni kubwa sana, maana nchi nzima kuna matumizi makubwa ya fedha... Tatizo ni kubwa na limeota mizizi
Nimewahi kuzungumzia mara kadhaa...Nilisema nikiwa Same "Rushwa ni tatizo Barani na Tanzania pia... Kwetu sisi huwezi kushinda bila kutoa fedha." Nilisema haya 2010:
"Kiongozi anayetoa rushwa anapata wapi kama si mwizi na mla rushwa... Hawezi kuwatendea haki maana wananchi ni kama bidhaa na hatawatumikia bali atatfuta za kihonga baadae"
Baadhi ya taarifa katika magazeti na taarifa za habari.... Kuna gazeti limeandika "Sumaye kupasua jipu Dar es Salaam...." Sina jipu wala jipu wala bomu la kupasua.
Kuna lililonishangaza kwamba 'Sumaye amtangazia jipu Lowassa, ikiwa ataingia Lowassa basi atamkabili kwa namna yoyote....'
Hakuna aliyezungumza na mimi kwamba nitapambana na Lowassa, siamini kama kuna source ya karibu na mimi. Basi sikifahamu na kama chanzo kipo sikifahamu, sijaongea na mtu na wala nisingeweza kuyasema, sina uhasama na Lowassa, na niliamua kugombea sitogombea kwa sababu ya mtu, bali kwa sababu ya maslahi ya nchi na si ya mtu.
Nilisema kiongozi anayetumia rushwa hatajali umma bali atatafuta fedha kunnua tena... CCM lazima tupige vita rushwa... Nilisema haya Julai 7 mwaka jana...
Nasema haya isionekane nasema haya baada ya kushindwa Hanang, Katika uchaguzi wa demokrasia, mtu huchaguliwa kwa uwezo na kwa ajili yao kuwatumikia, katika demokrasia ya rushwa, fedha huwachagulia watu mwakilishi kwa ajili ya waliotoa fedha, kama nimetoa fedha kwa ajili yako, na wapiga kura wanakua wapiga mihuri.
Sasa imetoka mtu kuhonga achaguliwe, na sasa mtu anatoa rushwa kununua watu ili apate kujenga mtandao wake na sasa ni rushwa ya kimtandao ambayo ni hatari sana..."
HABARI ZAIDI ZITAFATA BAADAYE.....

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII